Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sergi Roberto

Kimtazamo atacheza sehemu kubwa ya msimu ujao katika beki ya kulia kuliko katika kiungo.

Msimu uliopita alicheza kama kiungo mara nyingi tu. Msimu huu hatarajiwi kupewa muda mwingi kwenye dimba la kati kutokana na uwapo wa mafundi wengi kwenye eneo hilo, japo kiasili yeye ni kiungo.
 
Man u

Cole
Esta
Anko
Capitalpool
 
Salama bro,

Happy belated birthday.Kwa niaba ya familia, tunakutakia kila la kheri, ufanikiwe ktk kila utendalo.

Nimeona kuna mwenye khijab ...Natumaini mlisherehekea vizuri.
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#Aisee
 

[emoji16][emoji16][emoji16]... Eti MGUMU uchwara! Hizi WMD ni Kwa ajili ya nini poti, Uenyekiti? [emoji16][emoji16]
 

#wanakijijiwazoombalaa
 
Salama bro,

Happy belated birthday.Kwa niaba ya familia, tunakutakia kila la kheri, ufanikiwe ktk kila utendalo.

Nimeona kuna mwenye khijab ...Natumaini mlisherehekea vizuri.
Mwenye birthday ni Ninge au Cole. Leo hapa kuna mambo mengi yanaendelea hata inakuwa vigumu kufuatilia sawa sawa...

Natamani siku moja hata tuwe na harusi ya wanauzi dadeki [emoji1545][emoji1545]
 
King, hiki kicheko kisije kikanifanya nigombane na mzee mwenzako.

#SijuiUmewazaNiniKing
#VijanaWaLeoMnawazaMbaaaaaaaliSana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…