Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Itabidi nikienda nikutag😃😃😃Sijawah muona huko
#UnaachajeKuniona
Itabidi nikienda nikutag😃😃😃Sijawah muona huko
Hapo sawa. Birthday hizi zilikuwa zimeanza kunichanganya...Ninge ilikua 20/Jully na Colle ni 27/Jully.
Harusi tusubirie tuu, who knows!!
Wakenya hawa bro...Hii wapi bro
😂😂😂😂😂😂😂😂😂#KingHafai
#NakuachiaHappyRasmiIlaAtajuta
Unashabikia Barca?Ah ah! Kwengine tupo sawa ila Yanga [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Aaa wapi. Mbali na Mzee Wenga hakuna ninayemjua huko. Mpira ulishanishinda sijui kwa nini. Nashabikiaga tu timu yo yote ile bila kubagua [emoji16][emoji16][emoji16]We si Aseno bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya hawa bro...
Wamemtandika mvua za kutosha na $ bilioni 70 lazima azirudishe....El Chapo.
Ndio DaveUnashabikia Barca?
Nakuelewa bro,wala usijari
SYB arsenal inapresha hatari, mashabiki wao by nature ni wabishii siwawezii[emoji38]Kwa nini hutaki kuja Aseno?
HahahahaItabidi nikienda nikutag😃😃😃
#UnaachajeKuniona
Hatari sana.Wamemtandika mvua za kutosha na $ bilioni 70 lazima azirudishe....