Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Msukuma mshambaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Ngosha hana timu, hana mapenzi na mpira kabisa[emoji16]
Msukuma mshambaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Ngosha hana timu, hana mapenzi na mpira kabisa[emoji16]
BroView attachment 1164968
View attachment 1164969
View attachment 1164971
Hiyo ni stata tu. Kwa msaada zaidi wasiliana na poti. Yeye ni alwatan wa haya mambo...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
#mimisijuibro
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji13][emoji13]Nimeshakuelewa TH
Bakia huko huko na timu yenu ya vijana [emoji36][emoji36][emoji36]
#AlipoUpo
Ni dhana inayotegemea mazingira na jamii iliyokuzunguka. Huko uMasaini si ajabu ikawa ni kumbakishia demu maziwa au kipande cha nyama tu....Au kumtoa mwiba uliomkita mguuni...Unyirambani huko nako mambo yaweza kuwa tofauti...Bro
Hizo strawberry na hayo maua huku kolomije navipatiwa wapi bro??
#nilijuakuvaavitengesaresare
#ndiounakuwamromantic
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwenye birthday ni Ninge au Cole. Leo hapa kuna mambo mengi yanaendelea hata inakuwa vigumu kufuatilia sawa sawa...
Natamani siku moja hata tuwe na harusi ya wanauzi dadeki [emoji1545][emoji1545]
Imagine mpaka mimi na utunza kumbukumbu wangu nakaribia kushindwa kufuatilia sawasawa. Na huto tuvijana tuwili huto ni hatari sana...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hili liuzi kulielewa kuna muda ina sumbua sana, kuna siredi nyingi sana ndani yake.
Kuna kombinesheni ya Davet, ningendako, Bradha na Cole Williams halafu inachagizwa na Numbisa huku washadadiaji Fragaria na The Happiness.... Jamaniiiii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa nacheka sana hashtag zao...
Kuna vitoto viwili hapo juu vihuni vihuniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hili liuzi kulielewa kuna muda ina sumbua sana, kuna siredi nyingi sana ndani yake.
Kuna kombinesheni ya Davet, ningendako, Bradha na Cole Williams halafu inachagizwa na Numbisa huku washadadiaji Fragaria na The Happiness.... Jamaniiiii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa nacheka sana hashtag zao...
Kuna vitoto viwili hapo juu vihuni vihuniii
HahahNi dhana inayotegemea mazingira na jamii iliyokuzunguka. Huko uMasaini si ajabu ikawa ni kumbakishia demu maziwa au kipande cha nyama tu....Au kumtoa mwiba uliomkita mguuni...Unyirambani huko nako mambo yaweza kuwa tofauti...
Na bado kuna yale yanayohusu ulaji wa tunda lenyewe...jinsi unavyolinyemelea kwa mbwembwe na nyodo kama vile hulitaki; huku ukipasha joto tributaries zipelekazo maji kwenye kisima kikuu...
Ni dhana pana na tata....[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah, Jamani!Msukuma mshambaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahah
Bro nakukubari sana,huwa una lecture za nguvu sana zmejaa matirio hadi bhasi,
Somo ulilitoa hapa lipo clear ni fupi lkn limejaa ujumbe mpana[emoji120][emoji120]
Ngoja nami nika apply bro,ntakupa mrejesho[emoji16][emoji16]
#NitakuoneshaSuraYaKibishiSasa
#UsijeUkakasirikaEsta😃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee ankoo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

20:42