Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564219445943.jpeg
 
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo umemuona fulani kapendeza na aina fulani ya rangi ya kwenye kope halafu na wewe ukakimbilia kupaka, utachekesha.
 
Rangi ya mdomo nayo ni eneo lingine linalompendezesha mwanamke. Ukweli ni kwamba tunatofautiana sana midomo wazungu wanaita ‘Lips’ Kila mwanamke ana tofautiana midomo na mwingine kwa hiyo hata rangi ya midomo nayo inakwenda sambambana aina ya lips na rangi ya ngozi ya mwili aliyo nayo mwanamke, siyo unajisiriba rangi ya mdomo halafu unaonekana kituko. Wasiliana na wataalamu wa urembo kwa ushauri zaidi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hili liuzi kulielewa kuna muda ina sumbua sana, kuna siredi nyingi sana ndani yake.
Kuna kombinesheni ya Davet, ningendako, Bradha na Cole Williams halafu inachagizwa na Numbisa huku washadadiaji Fragaria na The Happiness.... Jamaniiiii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa nacheka sana hashtag zao...
Kuna vitoto viwili hapo juu vihuni vihuniii
Uzi una ubunifu wa kila aina kama wa anko bodaboda hapa
67060820_911479415864470_8519694837851414144_n.jpg
 
Back
Top Bottom