Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ina maana timu zingine ni timu za wazee? [emoji36][emoji36][emoji36]Timu ya vijana hiyo
#HujawahikumuonabradhakwenyeuziwaCity?
Ndio kunaUmeona eeh?
Wewe una mwenzako humu kweli?
Ah ah! Kwengine tupo sawa ila Yanga [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]Ndio, City, Barca na Yanga[emoji2]
Ninge ilikua 20/Jully na Colle ni 27/Jully.Mwenye birthday ni Ninge au Cole. Leo hapa kuna mambo mengi yanaendelea hata inakuwa vigumu kufuatilia sawa sawa...
Natamani siku moja hata tuwe na harusi ya wanauzi dadeki [emoji1545][emoji1545]
Kwanini?Upo Mtibwa sugar au?Ah ah! Kwengine tupo sawa ila Yanga [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Si kwa vile timu ilikuwa inafanya vizuri. Ngoja mwaka huu mkianza kufungwa mfululizo utaona. Mtaanza kupungua pole pole...
Ushabiki wa kweli hupimwa wakati timu inaboronga. Kama MAN U au Aseno miaka miwili iliyopita
Ah ah! Kwengine tupo sawa ila Yanga [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Shukrank sana bro[emoji120][emoji120]Salama bro,
Happy belated birthday.Kwa niaba ya familia, tunakutakia kila la kheri, ufanikiwe ktk kila utendalo.
Nimeona kuna mwenye khijab ...Natumaini mlisherehekea vizuri.
Hahah!Ile uliyonitumia ndiyo imekamilisha vibe, sisi ushindi Tu kama Messi vile
#wakatalunya
Mtunza kumbukumbu itabidi niweke hii mambo ya soka sawa. Ubaya mwenyewe sina timu ndo tatizo...Ndio kuna
Cole
Ninge
Daemusin
Capitalpool
Nashabikia simbaKwanini?Upo Mtibwa sugar au?
#Popoteuliponipo[emoji1][emoji1]
#Boraumekujakutetea
Mtunza kumbukumbu itabidi niweke hii mambo ya soka sawa. Ubaya mwenyewe sina timu ndo tatizo...
Ndio Cole, Messi Fan pia[emoji4]Yaani Na wewe Barca kumbe???
Kwa nini hutaki kuja Aseno?[emoji38][emoji38][emoji38]
Ikifungwa nahamia Barca tu kupooza machungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu nakuona unafurahia[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Aisee