Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Mama wengine ata hawahitaji hili inakua kama unachota maji kisimani unapeleka Baharini
 
Man City mko wengi humu dah !!!

MAN CITY

Cole
Bradha
THE KING HIMSELF
Mgumu Uchwara
Ze Hapinesi (huyu kaibwa tu)

LIVERPOOL
Mzee mwenyewe
Kamanda wa Pwani (Moud)

MAN UNITED
Binti Mpole


ASENO
BAK
Ngosha The Don (kama wanashindwa)

Mwakaleli sijui timu gani. Fragaria je?
Sijui kwanini nilidhani moudgulf yupo Chelsea🙉
 
FB_IMG_1564259064887.jpeg
 
Back
Top Bottom