The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
TehHahah!
#sawawachatukaekaributunukie
#ngojatwendesawatu
[emoji16]
TehHahah!
#sawawachatukaekaributunukie
#ngojatwendesawatu
[emoji16]
Aah wapi wakishua wanakuwaga wapole hata hawaongei, sie watoto wa Karume, kariakoo shimoni ndo tunaongea sana[emoji1][emoji1]
SanaaaNa wakishua wengi wengi wanakuwaga wajanja
#thehappinesskweliwakishua
Mtunza kumbukumbu itabidi niweke hii mambo ya soka sawa. Ubaya mwenyewe sina timu ndo tatizo...
[emoji28][emoji28][emoji28] sie waokota screpa tu ,wakishua wanaanzia mnazi mmojaUnaona sasa mitaa yako yote ni yakishua hapo Karume watoto wa koto ghorofani, mixer kuna mlinzi getini, huko k koo ndiyo balaa kwenye ushua kibao
#nimepruvukumbethehapinesswakishua
Nikweli bro kipindi hiyo uwezo wa Majamaa ulikua wa hali ya juuHumu Mchopanga Alifanya sana, japo kiwazo ali copy and manipulate idea ya Luda cris na Mary j blige kwenye run away love then akaipaste. Watu kitambo walikuwa deep
[emoji28][emoji28][emoji28] sie waokota screpa tu ,wakishua wanaanzia mnazi mmoja
Hupai bila Visa, bado naendelea kuload alichezea vipi manenoNash Mc anakwambia hupai bila visa nimeona hapa kuna word playing
Mmh!Aah wapi wakishua wanakuwaga wapole hata hawaongei, sie watoto wa Karume, kariakoo shimoni ndo tunaongea sana[emoji1][emoji1]
Hahah! Eti nae anajikataa sio wa kishua alafu anatoka Ilala mixer K/kooUnaona sasa mitaa yako yote ni yakishua hapo Karume watoto wa koto ghorofani, mixer kuna mlinzi getini, huko k koo ndiyo balaa kwenye ushua kibao
#nimepruvukumbethehapinesswakishua
Ngoja leo niwe mpole tu[emoji53]Sisi wa bush huku kabisa tunawaona ninyi ndiyo first class
#badowewewakishua
#Mostiwelikam[emoji3][emoji3]
#thenksifoDP
Hahah! Wanasema Kigoma sio mbali ila inategemea unatoka wapi....Sisi wa bush huku kabisa tunawaona ninyi ndiyo first class
#badowewewakishua
![]()
Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF
Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm. Hamia mpaka WhatsApp mbebishane. Mlilie njaa zako vya kutosha. Jiandae kuja kuumbuliwa huku. Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa 1.Mweupe 2.Bonge 3. Ana upara 4.Ana macho makubwa...www.jamiiforums.com