Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aah wapi wakishua wanakuwaga wapole hata hawaongei, sie watoto wa Karume, kariakoo shimoni ndo tunaongea sana[emoji1][emoji1]

Unaona sasa mitaa yako yote ni yakishua hapo Karume watoto wa koto ghorofani, mixer kuna mlinzi getini, huko k koo ndiyo balaa kwenye ushua kibao

#nimepruvukumbethehapinesswakishua
 
 

Nilijua ukiuona huu lazima uteletee, kumekuchaje huko Bro watu maarufu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…