Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya wakuu. Mzee wa data hapa. 100 K hiyo ishapatikana na Uniq ameibuka nayo. The race was tough na watu waliacha kutoa likes. Huku nyuma kuna sehemu posts hazina likes. Wakati tunapumua si vibaya tukirudi nyuma huko na kumwaga likes za kutosha...halafu tunaendelea tena. Safi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…