Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I won't take you for granted
Hahaha jamanKumbukumbu anayo mpiga picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Beba tu zigo lako hilo, ulilichagua mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DuuhChunguzeni hii picha kwa makini muone
. ukipost picha mtandaon hakikisha unaiangalia mara tano tanoView attachment 536054
Ndo hapo sasa. Nimeipata instaMbona jamaa anafanana na kadinda?...alafu naona kuna mwingine yuko na birth suit ndo anamfotoa...hatari hii
Naomba nisogezee hiyo grants tafadhali
Ni kuwashwa tu hata hatua tano hufikiWatu mna maneno dah! Imagine mtu umebeba zigo la upupu!
Nipo....Nimeona... nimeona.........Coco - safari hii umemiss by just one dah! Hongera Uniq. Baby S upo?![]()
Yap chief.How are you doing comrade?Markntosh
Busted! Reflection hapo kwenye kioo sijui dume lile limemsimamia kwa nyuma huko? Aaaargh!Chunguzeni hii picha kwa makini muone
. ukipost picha mtandaon hakikisha unaiangalia mara tano tanoView attachment 536054
Hata hatushituwani jamanMbio zimenipita Feel sad
Acha tuwasubiriWanaanzaga hivyo hivyo
Bagosha na madezu gabo bagwitolaga! Yashilaga gete!Dunia yashilaga