Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Idea nzuri hii ingefanya kazi kuliko wanavyowatenda sasa hivi, kama juzi hapa kuja jamaa yangu kapigwa chini huko baada ya kutumikia miaka mitatu sasa kunitumia CV zake nimpelekee sehemu yaani kaanza tena harakati za mtaani Upya.....Wangekuwa wanawaanzishia angalau miradi wakajiunga vijana 50 au 100 wanawakabidhi ili wakaiendeleze huko uraiani. Mafunzo ya JKT yangekuwa njia nzuri ya kuwapa ajira. Miaka mitatu vijana wanajifunza umekanika wa magari. Wakihitimu wanawezeshwa mradi wa kuanzia kuendesha gereji yao. Wanaopenda umeme hivyo hivyo. Ng'ombe wa maziwa. Kilimo cha umwagiliaji. Karakana. Wajenzi wa majumba...Yaani ingekuwa poa sana.
ππππ