Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9d57da19-b8d1-4aff-ab77-bfd0b3f3edad.jpeg
 
Lakini wanaambiwa kabisa tangu mwanzo kuwa JKT siyo guarantee ya kupata ajira...

Atokee mjinga mmoja awakusanye wenzake hawa halafu waunde tule tuvikundi twa kikorofi korofi aisee itakuwa hatari sana...

Tunacheza na moto indeed wallahi...
Wanaambiwa kweli lakini wenyewe akili yao nikupata ajira tu..

Kweli hawa watu ni hatari sana basi tu...
 
Wanaambiwa kweli lakini wenyewe akili yao nikupata ajira tu..

Kweli hawa watu ni hatari sana basi tu...
Wangekuwa wanawaanzishia angalau miradi wakajiunga vijana 50 au 100 wanawakabidhi ili wakaiendeleze huko uraiani. Mafunzo ya JKT yangekuwa njia nzuri ya kuwapa ajira. Miaka mitatu vijana wanajifunza umekanika wa magari. Wakihitimu wanawezeshwa mradi wa kuanzia kuendesha gereji yao. Wanaopenda umeme hivyo hivyo. Ng'ombe wa maziwa. Kilimo cha umwagiliaji. Karakana. Wajenzi wa majumba...Yaani ingekuwa poa sana.
 
Back
Top Bottom