Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni mchakamchaka Bro, naona umefunga hesabu mapema leo!Fresh sana mzee, vipi harakati?
Usiku mwema mpendwaI Just miss the Old You.
Usiku mwema mpendwa
Wanamwandama sana faunda wetu. Hata ikipigwa dafrau mi sitashangaa
Mungu ni mwema bro,karbu tena!!Poa sana Bro, habari ya hapo ulipo?
Nimependa hapo mstari wa 7 jamaa alivyomkata kichwa bila huruma. Utu umeisha jamani dah !!!
Ahsante sana Bro.Mungu ni mwema bro,karbu tena!!
Napata tabu kuingia humu adi sasa, sijui ni kimeo changu tu?
Bro zile niaje mimi sio kila siku yani week yangu moja ni sawa na miezi miwili ndio maana muda mwingi nakua free sanaNi mchakamchaka Bro, naona umefunga hesabu mapema leo!