Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah! Ngoja tuishie hapa hapa
#TuombeduaAsionehayamaongezi
Hahah! Ngoja tuishie hapa hapa
#TuombeduaAsionehayamaongezi
Watoto wa kishua kweli watapanda gari kama hii? Sidhani...Hapa mbele kuna bradha,davet,ninge
Nyuma cole,anko,moud,capitalView attachment 1167085
Mpiga picha the don
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora na wewe umeona hilo ila nimesema yaishe mimi sichangii tena
#Nimechekasanabro
#Daah!
Ofishale we ni "mkorofi". Uzi huu una laana. Watu wanakujaga hapa wapole balaa. Ninge na Shiroo...King na wazinduzi wake...and the list goes on and on...
#Tufurahininakucheka
#MtuAkikwazikaAseme
Wanamwandama sana faunda wetu. Hata ikipigwa dafrau mi sitashangaaJf ilikua haifunguki
Nimependa hapo mstari wa 7 jamaa alivyomkata kichwa bila huruma. Utu umeisha jamani dah !!!
Hakuna anaetaka ife!! .....jf ndiko hatua zinakoanziaWanamwandama sana faunda wetu. Hata ikipigwa dafrau mi sitashangaa
Global warming is a hoax...UK Heat Wave Breaks Temperature Record https://www.huffpost.com/entry/uk-heat-wave-breaks-record_n_5d402fd8e4b0db8affae5859
Leo huko hakukaliki!
I wish I could be IGP [emoji16][emoji16]Hakuna anaetaka ife!! .....jf ndiko hatua zinakoanzia
Napata tabu kuingia humu adi sasa, sijui ni kimeo changu tu?Jf ilikua haifunguki