moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salaam wakuu
Hahahah ni kweli kabsaTatizo ninawasiwasi na Cole hapo pembeni anakiwasha sasa huo moshi utakuzingua
Wasomi mlioko hapa. Nyie mmeolewa? (Asking for a friend) [emoji16][emoji16]
![]()
Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?
Hbr za w,keend wakuu Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa...www.jamiiforums.com
Kamanda simuoni hapa kumbe yupo kwenye kifungo. Nilitegemea sana kumwona kwenye 1 million match kwa sababu alikuwa anaiongelea mara kwa mara....
View attachment 1166490
EA radio wapo na Kemikali ngoja tusikie kama ataongelea ile issue yakeUshaomba sana viza na viza hakuna