Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndo umealikwa kwenye sherehe mapoti ndo hayo,nani angekula?
Imeandikwa wali chiliPilau na mboga gani?
#humuwotewakishua
Nyingine zipo google zile alizokwambia daemusin sema mpaka uwe na application ya IDM.Ooh nmeijaribu na sure inazingua
Hamna nyingine unaijua
Hahah jamanHapa mbele kuna bradha,davet,ninge
Nyuma cole,anko,moud,capitalView attachment 1167085
Mpiga picha the don
HahahHahah!
Mimi nashuka huu udreva wa ninge siuamini
Hahah! Karibu sana broNimecheka sana kwa mda mfupi niliopita hapa.
#NilikuwepoHapa
SawasawaUsiache kazi bila kuwa na kiasi cha uhakika cha akiba itakayokusaidia wewe na wale wanaokutegemea.
HahahaaaImeandikwa wali chili
#IlaUmekujaWaliMaharagwe😀
Kweli kabisaSwala la kuacha kazi ni swala ambalo likifanyika bila kutafakari na kujiandaa vyema linaweza kuleta matatizo makubwa.
Hapa mbele kuna bradha,davet,ninge
Nyuma cole,anko,moud,capitalView attachment 1167085
Mpiga picha the don
Tatizo ninawasiwasi na Cole hapo pembeni anakiwasha sasa huo moshi utakuzinguaHahah
Tulia mzee mwenzangu upo na dere makini
Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
#weweniwakishuabado
#yananyamazakusagaHahahaaa
#mmhbilahatanyama
#hauniudhiBradha[emoji3][emoji3]#Mzima pia, namshukuru Mungu.
#NatumaiUtaniWanguHaukuudhi