Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190730-WA0017.jpg
 
Mara nyingi wanakuwa wabishi, hawaambiliki, hawana upendo, wajeuri.
Kila unachojaribu kumwelekeza anajifanya anakijua, kila unapojaribu kumkosoa analeta stori za mfumo dume.
Kwa kifupi hakubali kuwa Makamo wa Kiongozi wa familia.
Anataka ama awe Mwenyekiti kamili (Kongozi mkuu) au Muongoze familia kwa kuachiana mihula.
Hata hivyo tusikie maelezo ya wanawake wasomi waliopo humu
Siamini kama wanawake wote wasomi wanatabia hizi.
 
Back
Top Bottom