Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazeee wa kufunga kwa mikono.View attachment 1167442
Siasa ni mchezo usio na masharti. Kila kitu rukhsa na unaruhusiwa kukaba hata penati pamoja na kufunga kwa njia yo yote ile. Mwanaume mzima Trump mpaka ametumia msaada wa Warusi unafikiri mchezo? Na 2020 inaonekana ana mpango huo...

Gemu hili la wana hakuna kulalamika bali ni kuzidiana ujanja tu asikudanganye mtu...
 
Miaka mitatu JKT alafu wanawapiga chini acha wajiongeze tu [emoji3]View attachment 1167439
Lakini wanaambiwa kabisa tangu mwanzo kuwa JKT siyo guarantee ya kupata ajira...

Atokee mjinga mmoja awakusanye wenzake hawa halafu waunde tule tuvikundi twa kikorofi korofi aisee itakuwa hatari sana...

Tunacheza na moto indeed wallahi...
 
Sis. Hii imeniingia sawa sawa. Nina hilo tatizo la procrastination...
tapatalk_1564514893537.jpeg
 
Back
Top Bottom