Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa kuichezea Rossoneri Daniel pia anafuata nyayo za babu yake, Cesare ambaye aliichezea Milan mara 300 katika miaka ya hamsini na sitini kabla ya kuifunza klabu hiyo.
Kabisa yaani. Majimama yenye mamisambwanda ya kufa mtu matatu - mawili meupe marefu na limoja jeusi tii kimo cha kati; na kakimbaumbau kamoja ka kuchangamsha familia. Paradise on Earth indeed wallahi. Ngoja nianze tuisheni ya Kiarabu kwanza asubuhi na mapema. Process za kusilimu zikoje kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha, badili mkuu ufaudu Pa...chi za halali ujiepushe na michepuko.
Ulitaka kimbau mbau, utakuwa naye, ukitaka tipwatipwa utasogeza, ukimtaka mweupe, mweusi, mfupi, mrefu utajipatia tu .
Kazi kwako Kamanda[emoji23]
Maparachichi...Wapi mzee wa MwakaleliView attachment 1167446