Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ila Kuna vidume sio watu wazuri siri ya ndani unatoa nje πππHaπ haπ haπ h!
Hawachi wewee.....
Eeh hiyo hiyo...
Sasa siunakuta nae anajifanya mjanja basi unaamua na wewe usiwe mnyonge unamwaga mchele kwenye kuku wengiIla Kuna vidume sio watu wazuri siri ya ndani unatoa nje πππ
Hapana Mkatalunya bado sijabahatika kumsikia kama unalo dini lake lolote embe share na mimi tafadhali
M/kiti, hau du yu du.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe maalim unampatia mitaa gani mana mimi nasomana nae chimbo flani hivi sio rafiki sana siku hiziIngia kwa Maalimu nashi nimeshindwa kuipata
Sema huyu bibie ni mzuri mno kasoro ndogo japo siamini kwa asilimia mia pengine aliye anzisha jambo hilo zilikuwa ni hasira za kuachana.Sasa siunakuta nae anajifanya mjanja basi unaamua na wewe usiwe mnyonge unamwaga mchele kwenye kuku wengi
Wewe maalim unampatia mitaa gani mana mimi nasomana nae chimbo flani hivi sio rafiki sana siku hizi
Hiyo kasoro sio ndogo Hawachi, japo na mimi nauhakika kua ni kweli kabisa 100% wala sio hasira za mtu kuachwaSema huyu bibie ni mzuri mno kasoro ndogo japo siamini kwa asilimia mia pengine aliye anzisha jambo hilo zilikuwa ni hasira za kuachana.
Poa Mkatalunya utatisha sanaNgoja nifanye Mpango niweze kuipata
Akijitahidi usafi tu kitu kinakuwa jasminiππππHiyo kasoro sio ndogo Hawachi, japo na mimi nauhakika kua ni kweli kabisa 100% wala sio hasira za mtu kuachwa
Nasikia sio ya usafi hiyo watu walimfanyia uswahiliAkijitahidi usafi tu kitu kinakuwa jasminiππππ
Hahahaha nimecheka hiyo kitu itakuwa inatema mno kama ni hivyo.Nasikia sio ya usafi hiyo watu walimfanyia uswahili
IHawa ni kina nani wanaotoa maelezo? Ni Vodacom?
Yea naona ipo Bro,Kumbe portability imeshaanza bro?
Hawajasema ni kina nani.Ndiyo matatizo ya kuongea bila kutoa intro Mkuu. Sijaisikiliza hadi mwisho I hope walikumbuka kutoa intro.
I
AmeenAmani itawale usiku huu