The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
The don himself, nakusaliiiiimu..![emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
The don himself, nakusaliiiiimu..![emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Hahah! Wamezingua sana chama kubwa wanashindwa ata na Jf ya MaxImekaa vibaya, haiwezekani upige simu zako za faragha kumbe kuna mwanaizaya mahali anakudukua.
Pumbavu sana.
Eti The Don himself...The don himself, nakusaliiiiimu..!
Udukuzi wa Serikali
Ahsante sana TH. Nafurahi pia uko sawa.Huku salama kabisaa..!
Nafurahi kukuona hapa tena,
Hapana Mkatalunya bado sijabahatika kumsikia kama unalo dini lake lolote embe share na mimi tafadhaliMkatalunya umemsikiliza
Trickson knowledge
#anajuasana
Kumbe portability imeshaanza bro?Kuna huduma ya MNP(Mobile Number Portability), ambayo inamruhusu mteja kuhama mtandao na namba ikabaki ileile so kwa wale mnaoogopa kupoteza mawasiliano na ndugu zenu kwa kupitia VodacomTanzania nendeni maduka ya mitandao mnayotaka kuhamia ni bure,nendeni na vitambulisho.
I'm soooo fine..Eti The Don himself...
Ai emu OK. How about you? Are the majamaaz OK? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mchaga kwenye ubora wake.
[emoji4]Ahsante sana TH. Nafurahi pia uko sawa.
Huyu nae na ile scandal yake bado tunaikumbuka. Duh M10
Scandal ile ya nanii yake inatema au ipi 😀😀😀😀Huyu nae na ile scandal yake bado tunaikumbuka. Duh M10
#Ifyouknowyouknow
Ha😂 ha😂 ha😂 h!Scandal ile ya nanii yake inatema au ipi 😀😀😀😀