Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.
Hahaha sawa sawa broKwenye uzi huu ni lazima kuwa specific bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Shwari bro.Nyie majamaa nyinyi hamfai kabisa yaani...
Huku kwema Braza. Huko vipi?