Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hebu tuseme ukweli. Semenya ni demu au ni mkanganyiko? Anagegedeka?Mwanariadha wa Afrika Kusini, Caster Semenya ameeleza masikitiko yake kufuatia kitendo cha Mahakama ya Michezo nchini Uswis kutupilia mbali maombi yake ya kupinga hukumu ya awali iliyomtaka afanyiwe upasuaji wa kupunguza homoni za kiume mwilini mwake.