Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#Ifyouknow
Screenshot_20190730-223124.jpg
 
Wapi hii mkuu?
Hii Sudani bro,,haya ni maandamano ya wanafunzi,hii ni baada ya watoto na wanafunzi kupigwa risasi kwenye moja ya mikutano hivi karbuni

Kwa hiyo wanafunzi wakabidi kuandamana kupinga matukio hayo ya kushambuliwa risasi kwa wanafunzi wenzao,hali hii imepelekea shule zote zifungwe kwa muda.
 
Hatari sana bro.... Mungu atuepushie pia awabariki huko wayamalize salama 🙏
 
Back
Top Bottom