Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahaba sis. Asante sana....

Hivi visa vipo sana. Majuzi tu hapa kule Utah binti kaagiza Uber usiku katoka nje kakuta jamaa ana gari yake hapo kamfungulia mlango binti akaingia hata bila kuuliza. Siku mbili tu wakaokota mwili wake kaharibiwa sana na kuteswa.

Ni vizuri kuwa makini na haya mambo hasa kwenu mabinti...
Ni kweli Bro
 
B
FB_IMG_1564563198223.jpeg
 
Back
Top Bottom