Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa Kwa jina la Raj Kumar anapigania uhai wake nchini India baada ya kung'atwa na nyoka aliyeingia ndani kwao kisha na yeye Kwa hasira akamtia mikononi nyoka huyo, kumng'ata na kumtafuna vipande vipande mdomoni _ Baba mzazi wa jamaa huyo amesema mwanae alikuwa amelewa ndio maana akalipiza kisasi Kwa nyoka huyo, lakini kwasasa hawana pesa za matibabu kwani hali ya mwanae ni mbaya hospitalini
 
66064116_458597038256191_8957406531312770852_n.jpg
 
Back
Top Bottom