Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee, waliwapa story ya washkaji waliofanikiwa kutoroka?
Ndiyo. Wapo waliofanikiwa kutoroka kwa kuiba boti. Na wale jamaa wanne mashuhuri sana waliotoroka wakapotea na hawakuonekana tena japo inaaminiwa kuwa walikufa maji.

Panatisha sana hasa ukizingatia mateso yaliyokuwa yanafanyika pale.

Watu huwa wanataka kuona chumba alimokuwa anakaa Gang Star Al Capone..
 
“Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.” *Mithali 16:20*

Asante Mungu kwa Neno lako asubuhi ya leo. Ni Jumatatu nyingine iliyopata kibali mbele za Mungu wetu sisi kuiona, jua kwamba lipo kusudi la wewe na mimi kuwa hai na Wa afya njema siku ya leo. Basi usilipoteze kusudi la Mungu katika maisha yako kwa kutafakari maneno ya wanadamu ya kukatisha tamaa, ya kukuvunja moyo, ya kukurudisha nyuma na kukutoa kwenye lengo bali tafakari Neno la Mungu utapata mema na umwamini yeye na utapata heri.
Nakutakia wiki njema.Mungu abariki uingiapo na utokapo.
Ameen 🙏🙏
 
Homo Sapiens...
0341368e32a9b3d847d951a3b255fb34.jpeg
 
Vijana wanahitaji elimu hawa. Romantic wanaambiwa ni foreplay tu wakati hawajaanza kufakamia utelezi. Kumbe hata mke/mpenzi wako kurudi home akakukuta umeshasafisha nyumba, umepika, umemwandalia maji ya kukoga...Hata kumfuta maji akitoka bafuni. Kumpaka mafuta. Kumkanda miguu akifika home. Kumsifia mbele ya watu na kumwonyesha kuwa she is everything to you. Kumkumbusha mara kwa mara kuwa unampenda sana. Kwamba ni mrembo ajabu. Kwamba ni mke mwema sana kwako na kwamba unamshukuru Mungu kila siku kwa ajili yake. Kupika naye pamoja jikoni huku mkitaniana. Kumletea vizawadi vidogo vidogo avipendavyo (mf. Tunda alipendalo). Kumsikiliza...and the list goes on and on. Romance kwangu naichukulia kuwa ni mfumo mzima wa maisha katika ndoa/mahusiano unaolenga kumfurahisha mwenzi na kumwonyesha kuwa ni wa thamani sana na ni nambari wani katika maisha.

Kama unamtreat vibaya mkeo/ Mpenzi wako lakini wakati wa kumgegeda ndiyo unaleta mambo sijui ya romance sijui kumwandaa huo siyo unafiki kweli? Katika hali hiyo hata sex yenyewe inaonekana kama vile ni "kazi" tu unayoifanya kutimiza wajibu wako au kupoza tamaa zako za kimwili na inakosa ule utakatifu wake na nguvu yake ya kutakasa fikra, nafsi na roho.

Ukifanya mambo haya madogo madogo (hasa kwa hali ya sasa) na ukabahatisha Mungu Awe Amekupatia mke mwema na mwelewa aisee mtaishi maisha ya furaha sana japo hekaheka na misukosuko vitakuwepo.

#KutochapiwaInawezekana

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Maisha Darasa huru na Mimi ndiyo mwelimikaji

Mambo haya kuyapata huku mbagala ni nadra sana

#brounajuasananaonaumemwagapointtupu
 
Back
Top Bottom