moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwakweli ni vema tukutane kumpongeza jirani kwa kuibamba rekodi ya 1milioni.
Nadhani "K tea shop" panafaa kupata ghahawa kumpongeza jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani "K tea shop" panafaa kupata ghahawa kumpongeza jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera Mkuu kwa kuibuka kidedea jana. Inabidi tukutane sehemu hapo mjini tupate moja baridi/moto au hata gahawa. moudgulf inabidi aandae sehemu ya kukutana, yeye aluwatani hapo town! [emoji16][emoji16]