moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha aaah, uzi sitoki [emoji849]
#NakupagaKilaSiku
#HataNisipokupaWeNipetu [emoji16][emoji16]
#NakupagaKilaSiku
#HataNisipokupaWeNipetu [emoji16][emoji16]
Kwa kifupi ni kuwa fisi mkubwa alimkimbia nyumbu mkubwa japo fisi mkubwa angali anajigamba kuwa alimkomesha (na bado anamkomesha) nyumbu mkubwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa ni upakoo mwanzo mwisho...
Nimewaombea sana nyie majamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Celine dion -Immortality
Nyumbu=chadema
Fisi=ccm
Haya unganisha doti,mashabiki kindaki ndaki wa hivyo vyama humu
Theenksi yu no. Ai emu hambodi yu no [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
#MajamaaYakikuamuliaTenaNitonyeNijeNishuhudie
#WakatulanyaHoyeeeeee
Kumbe kelele zote zile ni mambo ya siasa tu
#basiyaishemumy