Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kuona hii post nikasema shuaini. Sio ubuyu huo bana
#hivipotihadilinijamani
#umenikatastimu
Hahaa, niko Maganzo poti; natafuta Alimasi! [emoji16][emoji16]
Kuona hii post nikasema shuaini. Sio ubuyu huo bana
#hivipotihadilinijamani
#umenikatastimu
Namuaminia jiraniiiiToa kama unavyopewa
#NakupagaKilaSiku
#HataNisipokupaWeNipetu [emoji16][emoji16]
Nipo huku hungumalwaHahaa, niko Maganzo poti; natafuta Alimasi! [emoji16][emoji16]
Kwa kifupi ni kuwa fisi mkubwa alimkimbia nyumbu mkubwa japo fisi mkubwa angali anajigamba kuwa alimkomesha (na bado anamkomesha) nyumbu mkubwa [emoji16][emoji16][emoji16]Niliuona ila sikuufatilia zaidi.
#nimeanzakuzeekajaman
😂😂😂😂😂😂Nipe nikupe
#NakupagaKilaSiku
#HataNisipokupaWeNipetu [emoji16][emoji16]
Nipo huku hungumalwa
Ilikuwa safi sana. Aliposema "Leo majamaa mmeniamulia" basi na akili yangu hii mbovu ikaniwazisha matope kabisa (thriisamu ya wakatulanya) basi nikaona tu afadhali nikazanie kwenda kutubu [emoji16][emoji16][emoji16]Jambo jema kwenda mbele ya Nyumba ya Mungu kurefresh, maombi yako yapokelewe [emoji120]
Hahah! Ndio tulipata muda tukakutana hapa na tuliwakilisha vyema kabisa na yule mrembo wa Katalunya
Tunamkimbiza fasta,mgeni akija asiwe mchoyo wa thanks😂😂😂😂😂😂
Akitokea mgeni humu ataona vipi tena humu?
Heheh!Raha ya senksi kutokua mbahili
#ujitubanienathankspiauwiii
#toaujibanathanks
#toathanksbanauji
Hataelewa na kama ni mdandiaji wa treni kama mimi ndiyo mwanzo wa kuingia matatizoni (na rolo modo wangu) [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akitokea mgeni humu ataona vipi tena humu?
Watakupokea daladala wa baiskeli,wakikupoteza mie simoooNitapiga break hapo wakati narejea Nansio. [emoji16][emoji16]
Mh!Niliuona ila sikuufatilia zaidi.
#nimeanzakuzeekajaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh!
#Kutoavyotehuwezi?
😂😂😂😂😂😂Ilikuwa safi sana. Aliposema "Leo majamaa mmeniamulia" basi na akili yangu hii mbovu ikaniwazisha matope kabisa (thriisamu ya wakatulanya) basi nikaona tu afadhali nikazanie kwenda kutubu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa nilipo nina upako balaa japo sina uhakika nitadumu nao kwa muda gani [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#mmhhizonguvunitoewapi
#zakikepiazinapunguagaujue