Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamaniiiii😂😂😂😂 umepitwa
#Bradhaninoma
Heheh!Hahahah mpo vizuri.
#niponanyienafaidiwakishua
#navilehuwasirukipostzanyuma
Wikendi powa. Niliwaona asubuhi na fujo zenu lakini kwa vile nilikuwa katika pilika pilika za kwenda kutubu leo basi nikawachunia tu. Mmemwendesha wa kishua mwenzenu mpaka akakiri kabisa kuwa eti "leo majamaa mmeniamulia". Nilicheka sana aisee. Majamaa yakiamuliaga tena makatalunya anafikiri mchezo?Tupo bro, vipi za weekend?
#KwanguMbonaHafanyagiHivyo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Heheh!
#kwelihaurukagi
#nakuonagaunalikeadipostszajuzi
Raha ya senksi kutokua mbahiliHeheh!
#kwelihaurukagi
#nakuonagaunalikeadipostszajuzi
Kuna mwingine ulitokea jana bro Moud ndio aliendanao sawa sijui kama uliuonaJamaniiiii
#hadinimepunguauzitokwakukosaubuyu
Nipe nikupe#KwanguMbonaHafanyagiHivyo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Niliuona ila sikuufatilia zaidi.Kuna mwingine ulitokea jana bro Moud ndio aliendanao sawa sijui kama uliuona
#kutokakwacoconanisijui
Jamaniiiii
#hadinimepunguauzitokwakukosaubuyu
Kuona hii post nikasema shuaini. Sio ubuyu huo banaNjoo huku Barabara ya kutoka Mwanza kwenda Shinyanga, naona kuna miti mikubwa miingii ya Mibuyu; ushindwe mwenyewe tu! [emoji16]
#NakupagaKilaSikuNipe nikupe
Jambo jema kwenda mbele ya Nyumba ya Mungu kurefresh, maombi yako yapokelewe 🙏Wikendi powa. Niliwaona asubuhi na fujo zenu lakini kwa vile nilikuwa katika pilika pilika za kwenda kutubu leo basi nikawachunia tu. Mmemwendesha wa kishua mwenzenu mpaka akakiri kabisa kuwa eti "leo majamaa mmeniamulia". Nilicheka sana aisee. Majamaa yakiamuliaga tena makatalunya anafikiri mchezo?