Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Ngoja matomaso tusubiri kuona

Miezi saba nahisi itakua ni tumbo la maana hivyo wadau wangeshajua na kuvujisha kitambo sana...

Juzi tu alikua kwenye kubwa kuliko bby, kuna project walikua wanaitambulisha pia walimuhoji mengi ikiwepo issue ya Singasinga kuona na kuhusu kauli yake ya kujioa. Sababu aliyotoa nikwamba wanaume wengi sasa hivi wapo soft sana eti wanaandika msg " baby ushakua?, ushalala?, Jomoni nk

Jomoniiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

5f86c8d0-88a5-4f78-bc7d-29fa14718fce.jpeg
 
The Toffees wameanzisha mazunguumzo na Juventus kuhusu kumsajili mshambuliaji kinda Moise Kean. Mabingwa hao wa ligi ya Serie A wanataka dau la £36m kwa mchezaji huyo wa Itali na wanasisitiza kuhusu kumnunua tena iwapo timu hiyo itamuhitaji. (Sky Sports)
 
Wolves wameafikia makubaliano na mabinga wa Itali AC Milan kumnunua mshambuliaji mwenye umri wa miaka 21 Patrick Cutrone. Klabu hiyo ya ligi ya Premia kwa sasa inajaribu kumrai mchezaji huyo wa Itali kujiunga na klabu ya Molineux. (Express and Star)
 
Hope litahimili malori ya mizigo la sivyo ni kujitengenezea bomu kubwa la baadae.

Nataman hizo hela wangenunua vivuko vya kutosha na meli nzuri kwa bukoba

Na pale kuna malori kweli kweli. Na watu watazidisha uzito tu. Itabidi walijenge haswa bila kukata kona kona...

Baada ya MV Bukoba kuzama haikuletwa meli mpya?
 
Na pale kuna malori kweli kweli. Na watu watazidisha uzito tu. Itabidi walijenge haswa bila kukata kona kona...

Baada ya MV Bukoba kuzama haikuletwa meli mpya?
Hasa Malori ya mafuta yapo ya kutosha,ya mizigo mengi yanapitia njia nyingine ila daraja likija yanaweza hamia hapo

Hamna meli,ipo kwenye ujenzi,saiv ni mwendo wa bus tu kupitia geita katoro etc
 
Back
Top Bottom