Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mkufunzi mpya wa Chelsea Frank Lampard ameambia wachezaji Tiemoue Bakayoko na Danny Drinkwater - ambao waligharimu £80m - kwamba wanaweza kuondoka Stamford Bridge. (Mirror)
AstaghafirJomoniiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1165710
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Raha ya senksi kutokua mbahili
#ujitubanienathankspiauwiii
#toaujibanathanks
#toathanksbanauji
Nilikuwa naandika kwa kujiamini kabisa kuwa leo uko bize na hutaziona comments zangu hizi. Ai emu ofishale finishidi [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahaha
Hahaha!Sasa ni upakoo mwanzo mwisho...
Nimewaombea sana nyie majamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaandika kwa machungu sana ....
Ila hichi kipande kimenishtua
(Ikiwa itanigharimu kifo niko tayari)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba tayari mshajuanaWe unamuonaje huyo the happiness si wakishua
#aunaweweniwakishuabintimpole
#MkatalunyaUnaulizaMajibu?We unamuonaje huyo the happiness si wakishua
#aunaweweniwakishuabintimpole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana#MkatalunyaUnalizaMajibu?
#BintiMpoleniwakishua100%
#Hajawahikusomaboarding
#HajuiMaharagenaUgaliwaboarding
Ilikuwa safi sana. Aliposema "Leo majamaa mmeniamulia" basi na akili yangu hii mbovu ikaniwazisha matope kabisa (thriisamu ya wakatulanya) basi nikaona tu afadhali nikazanie kwenda kutubu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa nilipo nina upako balaa japo sina uhakika nitadumu nao kwa muda gani [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3] kwanini unajihurumia kaka yangu mwemaMarahaba sis mwema usiye na makuu. Nilikuwa natesti zali nikidhani pengine utakasirika. Asante kwa kunivumilia. Kakako miye yaani basi tu. Sometimes hata mi mwenyewe najihurumiaga tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona kawaza utekaji na kupotea kwa watu...Ameamua kujiripua tu. Ni kweli tumefikia mahali ambapo ukitoa angalizo tu kidogo tayari unauliwa?
Kama kuna watu wabaya wakamteka huyu na kumfanyia alichokiapia tayari serikali inabebeshwa lawama hata kama haikuhusika. Tukiri tu kuwa hali si nzuri !!!
Nipo Tz ndugu yangu ila kuna vitu vinatokea mtu unakua huna uhakika sasa kwa kauli kama hiyo ndio naunga dots sasaUmeshtuka vipi bro, kwani haupo Tanzania ?