Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahahahah kumbe aisee bora wahamie huko siasanKwa kifupi ni kuwa fisi mkubwa alimkimbia nyumbu mkubwa japo fisi mkubwa angali anajigamba kuwa alimkomesha (na bado anamkomesha) nyumbu mkubwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Yani nimeingi humu nimecheka sana, umejimwaya mwaya vizuri kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa naandika kwa kujiamini kabisa kuwa leo uko bize na hutaziona comments zangu hizi. Ai emu ofishale finishidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sidhan kama ipoMV. Victoria nayo ilishakufa?
Nilisoma huko na meli hizo tulizitumia sana tena enzi zile wanafunzi tunasafiri bure. Those good ole days ...
Jana nilikutafuta kweli unieleweshe ila hukutokeaHahahahah kumbe aisee bora wahamie huko siasan
Utarudi mwakani machiSidhan kama ipo
Nyumbu=chademaJana nilikutafuta kweli unieleweshe ila hukutokea
DuhUtarudi mwakani machi
Theenksi yu no. Ai emu hambodi yu no [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yani nimeingi humu nimecheka sana, umejimwaya mwaya vizuri kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Feel free kabisa The Big bro,