myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana unaaga...
Hahah!Hahahahahhaa
#bongelaburudani
Napata wasi wasi sana na hii taarifa MkatalunyaWanaume Hawana Dogo....Wampachika Mimba Rapper Chemical na Kumkimbia
![]()
Wanaume Hawana Dogo. Wampachika Mimba Rapper Chemical na kumkimbia
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram. Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku...www.jamiiforums.com
#Mkatalunyatayarihuko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napata wasi wasi sana na hii taarifa Mkatalunya
Inanuka kama KIK hiviKwanini
Inanuka kama KIK hivi
Hahah! Ngoja matomaso tusubiri kuonaHahaha watu watakuwa wamepita naye
#wahunisiyowatuwazuri
Ushaenda the dark web binti mpole?Huwa unatumia kisehemu kidogo tu cha mtandao
Ni wazi kuwa sehemu unayoitumia kwenye intaneti ni sehemu ndogo sana ambayo inaonekana kwenye injili pekuzi (search engines). Ipo sehemu nyingine ambayo imefichwa kwenye injini pekuzi (dark web); sehemu hii inajumuisha taarifa binafsi za watu, taasisi na makampuni mbalimbali. Unaweza kuperuzi sehemu iliyofichwa ya intaneti kwa kutumia kivinjari (browser) ya Tor.