Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#9 Panga Upya nyumba yako. Kama nyie wawili mliishi kwa pamoja kwa muda mrefu ni wazi kwamba ile sehemu itakuwa ishammisi kama haukupanga na kuweka muonekani mpya ndani ya nyumba yako. Muonekano mpya wa nyumba/ chumba chako utaashiria kuwa mambo yamebadilika. Hii itakusaidia na hautamkumbuka wala kummisi.
 
#10 Kanyoe nywele zako. Hili ni jambo la kiwango sana wanawake wengi wanaojielewa hulifanya pale wanapoachana na wale waliokua wakiwapenda. Kwanini? Kuwa na muonekano mpya utakusaidia wewe kujua namna ya kumsahau na kwamba umemvua kabisa akilini kwako. Ukishapata kitu cha kukupa kampani hautakuwa na muda wa kumkumbuka mshkaji tena. Najua unazipenda sana nywele zako - lakini hii itakupa hasira na itakufanya ujioe una maisha mapya na utamsahau kwa kasi ya ajabu.
 
#11 Jitafutie kampani mpya. Sio kila mtu anaweza akatoka na kuafuta kampani nyingine ya kula bata, kama unaweza hii itakuondolea upweke. Kama utakuwa na kitu au mtu wa kukupa kampani wakati upo kipweke ni jambo linaloweza kukusaidia na hautakuwa na muda wa kumfikiria X wako tena!.
 
#12 Nenda Gym. Usiwe tu kila siku unapoteza muda mwingi katika kufata hobb zako kama kuangalia movie, mara moja au mbili katika wiki - nenda gym. Hii itakuweka busy, na itakufanya uwe na upumuaji mzuri utakaokufanya umtoe out yule jamaa kama hewa chafu unayoitoa ukiwa mazoezi, itakufanya ufurahi, na itakufanya ujiamini zaidi kwa sababu utaonekana ni mtu amaizing baada ya kutoka mazoezini!.
 
Hodi humu anayehitaji mtoto

Huyu namgawa
Screenshot_20190726-130317.jpeg
 
#13 Jifurahishe mwenyewe. Nenda katengeneze T-Shirt yako, kanunue mask, weka mziki mzuri ndani- air freshner tofauti na ambayo ulikua ukitumia, pamba bafu lako kaunue wyne au tengeneza juice yako itakayokufanya uwe na usiku mtulivu - jambo hili litakufanya haukuwahi kuhitaji mwanaume akufanyie hayo yote. Fanya haya mara chache katika wiki
 
#14 Tafuta hobby mpya ambayo haukuwahi hata kuifikiria au kuizoea. Usijiweke bize na hobby ambazo zitakuwa rahisi na kukufanya wewe kumkumbuka tena X wako. Badala yake, Chagua hobby ambayo itakupa changamoto na kukufanya uifikirie na usimfikirie yule jamaa.
 
Wakuu,,kuwa m'romantic ndio kuwaje?
Be a gentleman. Be romantic. Bring her roses. Cook her meals. Hug her from behind. Dance with her. Play with her hair. Kiss her neck. Massage her heart. Be honest with her. Be serious. Be silly. Be genuine. Learn everything you can about her. And by all means , when the moment calls for it, never hesitate to throw her on the bed, rip off her clothes, and ravish her like a wild animal.
 
Back
Top Bottom