Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3007.JPG


Asikwambie mtu namna unavyowasiliana na lugha unayotumia kwa watu wengine ina umuhimu sana, unless uweke wazi wewe ni mchekeshaji au unachekesha

Be Humble
 
View attachment 1166272

Asikwambie mtu namna unavyowasiliana na lugha unayotumia kwa watu wengine ina umuhimu sana, unless uweke wazi wewe ni mchekeshaji au unachekesha

Be Humble
Picha zake za utotoni mwenyewe inaonekana alikuwa na chawa. Watu wa Saikolojia wanaielewa sana tabia hii. Anahitaji Therapy....
 
Vijana wanahitaji elimu hawa. Romantic wanaambiwa ni foreplay tu wakati hawajaanza kufakamia utelezi. Kumbe hata mke/mpenzi wako kurudi home akakukuta umeshasafisha nyumba, umepika, umemwandalia maji ya kukoga...Hata kumfuta maji akitoka bafuni. Kumpaka mafuta. Kumkanda miguu akifika home. Kumsifia mbele ya watu na kumwonyesha kuwa she is everything to you. Kumkumbusha mara kwa mara kuwa unampenda sana. Kwamba ni mrembo ajabu. Kwamba ni mke mwema sana kwako na kwamba unamshukuru Mungu kila siku kwa ajili yake. Kupika naye pamoja jikoni huku mkitaniana. Kumletea vizawadi vidogo vidogo avipendavyo (mf. Tunda alipendalo). Kumsikiliza...and the list goes on and on. Romance kwangu naichukulia kuwa ni mfumo mzima wa maisha katika ndoa/mahusiano unaolenga kumfurahisha mwenzi na kumwonyesha kuwa ni wa thamani sana na ni nambari wani katika maisha.

Kama unamtreat vibaya mkeo/ Mpenzi wako lakini wakati wa kumgegeda ndiyo unaleta mambo sijui ya romance sijui kumwandaa huo siyo unafiki kweli? Katika hali hiyo hata sex yenyewe inaonekana kama vile ni "kazi" tu unayoifanya kutimiza wajibu wako au kupoza tamaa zako za kimwili na inakosa ule utakatifu wake na nguvu yake ya kutakasa fikra, nafsi na roho.

Ukifanya mambo haya madogo madogo (hasa kwa hali ya sasa) na ukabahatisha Mungu Awe Amekupatia mke mwema na mwelewa aisee mtaishi maisha ya furaha sana japo hekaheka na misukosuko vitakuwepo.

#KutochapiwaInawezekana

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ujembe murua sana huu
 
Back
Top Bottom