Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190729_085541.jpeg
 
Hivi mapinduzi ya Sudan yalifikia wapi? Au yamekwama kama yale ya Misri, Libya na kwingineko?
Kuna yale yaliyofanyika ya kumng'oa madarakan Omar Al Bashir miez michache iliyopita,,baada hapo nafikiri kinachotokea hv sasa ni hali ya aman bado haijawa shwar...

Ngozi nyeusi tumejaa na tamaa ya madaraka bro,hata atakaeingia pia anakuwa na uchu wa madaraka
 
Nasikia wajeda wamekubali raia wachache washiriki katika kuunda serikali mpya ila wenyewe (wajeda) ndiyo washikilie nafasi zote za muhimu. Raia imebidi wakubali tu kwa sababu wajeda subira imewaisha na tayari walikuwa wameanza kuua...

Haya mambo ni magumu sana. Natumaini hawatafika kwenye "afadhali hata enzi za Al Bashir" kama Walibya....
 
Back
Top Bottom