Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8a0885b3-8c8b-4cfa-b462-66b8c3b2637a.jpeg
 
Nasikia wajeda wamekubali raia wachache washiriki katika kuunda serikali mpya ila wenyewe (wajeda) ndiyo washikilie nafasi zote za muhimu. Raia imebidi wakubali tu kwa sababu wajeda subira imewaisha na tayari walikuwa wameanza kuua...

Haya mambo ni magumu sana. Natumaini hawatafika kwenye "afadhali hata enzi za Al Bashir" kama Walibya....
Aisee,

Kwa hali hii Afrika bado tuna safari ndefu sana,tuombe Mungu tusifike huko!
 
Back
Top Bottom