capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
TRM ipo naiona ona kwa mbali hata mkurugenzi wao mkuu katia mguu...
Be patient [emoji16][emoji16][emoji16]
Wapo wengi
Utafiti nshaufanya...na nikauchapisha kwenye jarida rika (peer reviewed journal). Kuna vighairi (exeptions) vichache katika hitimisho langu la jumla...[emoji16][emoji16][emoji16]Wapo Kamanda, hata kwenye uzi huu wapo wanaojua mapenzi na maana ya upendo.
Fanya utafiti,
Kwa issue gani bro?
Mkurugenzi kaja humu kwa dakika mbili tatu halafu huyoo akakitoa. Angalau tumejua kuwa yuko salama na hilo ndiyo jambo la muhimu kuliko yote.....Mkurugenzi wa ufundi wa TRM namuona anapiga misele humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Black Chyna...RIP..Eddie Guerrero, RIP Legend
Nadhani kipaumbele ni issue ya Ubunge wake ingawa nategemea mengi zaidi hapo baadae.Kwa issue gani bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1167961
Yupo vizuri huyu jamaa atawapa tabuNadhani kipaumbele ni issue ya Ubunge wake ingawa nategemea mengi zaidi hapo baadae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri kuona sura nyingine ya Tanzania.Yupo vizuri huyu jamaa atawapa tabu
Nimewafuma live wakidukua