Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utalia na kusaga meno....
FB_IMG_1564537755386.jpeg
 
Lakini embe pia hutumika kutengeneza jeli, pai, achari kama Mengo pickle ambayo hupendwa na watu wengi na kwa hakika huwa ghali kutokana na tunda lenyewe kupendwa na watu. Kuna watengenezaji wa aiskrimu huamua kutumia tunda hili kutengeneza na wengi hupenda kutumia kutokana na harufu yake nzuri.
 
Jamaa wanatoa siri za wateja kibwege tu..
Kuna huduma ya MNP(Mobile Number Portability), ambayo inamruhusu mteja kuhama mtandao na namba ikabaki ileile so kwa wale mnaoogopa kupoteza mawasiliano na ndugu zenu kwa kupitia VodacomTanzania nendeni maduka ya mitandao mnayotaka kuhamia ni bure,nendeni na vitambulisho.
 
Back
Top Bottom