Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Chunga sana pindi inapofika Usiku
Hakuna ujanja hapo,hahaKwanini unaleta ujanjaujanja
#hakunamlalahoiambayenimshua
#Furahanikwawakishuatukamawewe
Umemsahau wa kishuaKing
Binti mpole
Wakatalunya
Mgumu
Mpendwa
Esta
Prof
Wasukuma
Jirani
Ve
Ankoo
Msafi
[emoji3269][emoji2992]6. Kuongeza uwezo wa kujiamini
Watu wengi zaidi kila kukicha wanaendelea kuitafuta huduma hii ya tiba kwa njia ya masaji wakiwa na maradhi mabalimbali katika miili yao. Madaktari wengi nao wameendelea kuwashauri wagonjwa wao kujaribu tiba hii.
Utafiti unaendelea kuwaeleimisha watoa tiba hii jinsi ya kuifanya ili kupata matokeo mazuri katika kutibu matatizo kama maumivu sugu ya misuli, matatizo yanayotokea wakati wa matibabu ya kansa, wakati wa mabadiliko yaletwayo na ujauzito, na maradhi mengine mengi.
Umesahau Majamaa...King
Binti mpole
Wakatalunya
Mgumu
Mpendwa
Esta
Prof
Wasukuma
Jirani
Ve
Ankoo
Msafi
Tafsiri yake ilinipita aisee.Na we si Mkatalunya lakini
Majamaa ni kina nani?Umesahau Majamaa...
Na Kiggy [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38] dooh Estaa, usimtingishe bradhaUmemsahau wa kishua
#TH