Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mimi nipo dada yangu.Nimefurahi kusikia siku imeenda vizuri.Siku kwangu ni Safi,Umeadimika Bradha.
Amekua huyu binti
Salama dada yangu?Natumai siku imeenda vizuri pande hizo.[emoji38][emoji38] dooh Estaa, usimtingishe bradha
Majamaa ni kina nani?
Kiggy a.k.a Msafi
Hahahaha, ngoja niupdate list
Salama bradha, Siku imeisha vyema! Vipi wewe hukoSalama dada yangu?Natumai siku imeenda vizuri pande hizo.
#NishatingishwaSasa[emoji3][emoji3][emoji3]
King_MkorofiKing
Binti mpole
Wakatalunya
Mgumu
Mpendwa
Esta
Prof
Wasukuma
Jirani
Ve
Ankoo
Msafi
Nikumbushe mpendwa kichwa kina mambo mengi nimesahau au Kani tag kwenye uzi nije now πππMimi nipo dada yangu.Nimefurahi kusikia siku imeenda vizuri.
Halafu hukuniambia ilikuaje, licha ya kuja kwenye uziππππ
Mpendwa siumejiona hapo?Hawa wahusika wapo humu kweli ππππ
Hee aiseee list moja nimetokea mara tatuKing_Mkorofi
Binti_mpole
Wakatalunya
Mgumu
Mpendwa
Esta
Prof
Wasukuma
Jirani
Ve
Ankoo
Msafi
Kiggy
Wa_kishua
Majamaa
Kaka mkubwa
Mzee_mwenzangu
Prisca
Wewe niambie iliwezekanaje wakati hujamwonaππππNikumbushe mpendwa kichwa kina mambo mengi nimesahau au Kani tag kwenye uzi nije now πππ