Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingawa imeripotiwa kuwa bei ya Pauni 90 milioni iliyowekwa na City kwa ajili ya winga huyo imewaondoa Bayern katika mpango wa kumsajili Mjerumani huyo, Kovac alisema hivi karibuni maafikiano yanakaribia kufikiwa akisema: “Najiamini sana. Naamini dili litatimia.”
 
IGA UFE

Ngoja tumuelimishe yule *Mropokaji* kidogo, maana jana katutaja katika ropokaropoka zake.

1. Tulianzisha timu mwaka 1935, wao wakaiga kuanzisha timu mwaka uliofuata.

2. Tulianza kuwa na tajiri Abbas Gulamali na wao wakaiga kutafuta tajiri Azim Dewji. Tukawa na Tajiri Manji, nao wakaiga Mo.

3. Tajiri wetu Gulamali ndo wa kwanza kugombea Ubunge (Ifakara), wao tajiri wao akaja kuiga kugombea Singida.

4. Mzee wetu Akilimali alikuwa wa kwanza kumdindia tajiri; nao mzee wao Kilomoni ameiga.

5. Tuliweka kambi Uturuki msimu wa 2015-16, nao wakaweka kambi Uturuki msimu wa mwaka jana.

6. Tulisajili waBrazili, nao wamesajili waBrazili.

7. Tulichangia damu Mbeya, nao wakaiga.

*Kitu pekee ambacho ukiwaiga Simba unaweza kufa ni kung'oa viti uwanja wa Taifa*.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…