moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
MAURICIO Pochettino ameliamsha dude huko Tottenham. Amewarushia dongo mabosi wa klabu hiyo kwa kutomhusisha katika dili za usajili wa wachezaji wapya akisema yeye anakuta ameletewa tu watu, hivyo ni bora hata wambadili cheo chake.
IGA UFE
Ngoja tumuelimishe yule *Mropokaji* kidogo, maana jana katutaja katika ropokaropoka zake.
1. Tulianzisha timu mwaka 1935, wao wakaiga kuanzisha timu mwaka uliofuata.
2. Tulianza kuwa na tajiri Abbas Gulamali na wao wakaiga kutafuta tajiri Azim Dewji. Tukawa na Tajiri Manji, nao wakaiga Mo.
3. Tajiri wetu Gulamali ndo wa kwanza kugombea Ubunge (Ifakara), wao tajiri wao akaja kuiga kugombea Singida.
4. Mzee wetu Akilimali alikuwa wa kwanza kumdindia tajiri; nao mzee wao Kilomoni ameiga.
5. Tuliweka kambi Uturuki msimu wa 2015-16, nao wakaweka kambi Uturuki msimu wa mwaka jana.
6. Tulisajili waBrazili, nao wamesajili waBrazili.
7. Tulichangia damu Mbeya, nao wakaiga.
*Kitu pekee ambacho ukiwaiga Simba unaweza kufa ni kung'oa viti uwanja wa Taifa*.
Nampa Messi.
MmmhNampa Messi.
CR ni mzuri lkn kazidiwa kidogo sana na Messi.
#SinaSabuniYaKufuliaJmosi
#NitaendaMjiniMchafuMmmh
#sitoipovukizembe
Kweli tupu...
Kama matunda, zabibu inabidi zioshwe vizuri kabla ya kuliwa kwa sababu ni tunda mojawapo lenye kiwango kikubwa cha pesticides ( kama siyo organic)Unaweza kula zabibu kama matunda, zabibu zilizokaushwa (raisin) au kama juisi pia.
Zabibu hutumikana sana kutengeneza mvinyo (wine), sehemu mbalimbali duniani.
Milioni 10?
Na bado ulipishwe milioni 10. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Scandal ile ya nanii yake inatema au ipi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiona hivyo mtu kapigwa mpunga mrefu imemuuma..Ila Kuna vidume sio watu wazuri siri ya ndani unatoa nje [emoji2][emoji2][emoji2]