Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hawaadhirikagi hawa. Tayari ni mamilionea tena wa dola. Waadhirike nini?
Hawaadhirikagi hawa. Tayari ni mamilionea tena wa dola. Waadhirike nini?
Kamanda, utani kama huo huwa haupendi kujibiwa kwa facts. Ukifanya hivyo unaharibu [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa.
Ila na 2, Tajiri mfadhili wa kwanza Simba ni Saleh Ruweh wa Salama travel 1973,74,75. Aliwanunulia bas, alikuwa anatoa tiketi kwa timu kwa gharama zake, kwa safari za nje, kuwanunulia jezi na vifaa vingine, kuipunguzia timu makali ya maisha nk.
Baadaye Yanga kwa ushawishi wa mzee Mangara Tabu wakampata wa kwao Shiraz Sharrif 1973 aliyewasaidia kumpata kocha Tambwe Leya, ambaye naye ameisuka Yanga akiwa wachezaji Mayaula Mayoni, Leodgar Tenga, Jella Mtagwa nk
Too obvious. Si angalau lionekane natural kidogo?Biashara ni kujiongeza[emoji2089][emoji2089]View attachment 1169225
Powa kabisa. Nakutakia Mwezi mpya mwema na wenye mibaraka tele [emoji1545][emoji1545]
Mungu huwa anatuvumilia sana sisi binadamu. Dhambi zile zile tumekomaa nazo miaka nenda miaka rudi na Mungu Anatusamehe lakini hatubadiliki; na kila siku kiguu na njia kwenye nyumba za ibada...Anafanya makusudi