Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
8d7a9537-b926-46fb-af68-f9ef3cc4fa86.jpeg
 
Kwa sasa kila kitu kwenye Ugalatia kinawezekana aisee. Yanafanyika mambo ya ajabu sana. Huyu jamaa aliyemleta huyu yesu wake nasikia ana waumini kibao tu na hapo hata akiwaambia wauze vyote walivyonavyo waende na huyo yesu trust me wengi tu watafanya hivyo. Na wengine utakuta ni wasomi kabisa hata kiwango cha PhD....
Sasa hapo huu upuuzi wanaokuanao unaletwa na nini, hao wachungaji wanayo nguvu ya ziada kupumbaza waumini wao au ni imani binafsi tu ya waumini?
 
Mungu huwa anatuvumilia sana sisi binadamu. Dhambi zile zile tumekomaa nazo miaka nenda miaka rudi na Mungu Anatusamehe lakini hatubadiliki; na kila siku kiguu na njia kwenye nyumba za ibada...

Ni kwa neema tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uko sahihi kabisa, ndo maana anaitwa MUNGU
 
Back
Top Bottom