Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nilipenda sana uandishi wake huyu nguli Elvis Musiba..Willy Gamba (James Bond wa Kiswahili)
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hujuma
Hofu
Nguli huyu alisisimua sana na watu wakapenda kusoma vitabu.....na wenzie akina Faraji Katalambula, Eddie Ganzel, Kajubi Mukajanga na baadaye akina Ben R. Mtobwa na magwiji wengine wa hadithi pendwa...Kilikuwa kipindi chenye rutuba sana katika fasihi ya Kiswahili...
Nilibahatika kusoma vitabu vitatu hapo kwenye hyo list uliyoiweka Njama,Hofu Kufo na Kupona
Nilikuwa nikisoma hizi riwaya unaweza jikuta hata njee mida ya usiku ukaogopa kutoka.