Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nilipenda sana uandishi wake huyu nguli Elvis Musiba..Willy Gamba (James Bond wa Kiswahili)
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hujuma
Hofu
Nguli huyu alisisimua sana na watu wakapenda kusoma vitabu.....na wenzie akina Faraji Katalambula, Eddie Ganzel, Kajubi Mukajanga na baadaye akina Ben R. Mtobwa na magwiji wengine wa hadithi pendwa...Kilikuwa kipindi chenye rutuba sana katika fasihi ya Kiswahili...
[emoji16][emoji16][emoji16] hivyo viua vinaleta uromantic broSasa huto tumajani kwenye hiyo pizza vya nini? Watoto wa kishua bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe lile somo la kuwa romantic ulilielewa vyema. Ni vitu vidogo vidogo kama hivi. Hapo utakuta anakumbuka huto tuua na siyo pizza yenyewe...[emoji16][emoji16][emoji16] hivyo viua vinaleta uromantic bro
#wakishuawakatarunya haha
Alikuwa mwandishi mzuri. Anakuchorea wahusika kwa uwazi kabisa na unaweza kujikuta hata unarusha ngumi Willy Gamba akirusha....ingekuwa ni huko kwa wenzetu naamini vitabu hivi vingekuwa vimeshatengenezewa series ya action movies hatari sana....Nilipenda sana uandishi wake huyu nguli Elvis Musiba..
Nilibahatika kusoma vitabu vitatu hapo kwenye hyo list uliyoiweka Njama,Hofu Kufo na Kupona
Nilikuwa nikisoma hizi riwaya unaweza jikuta hata njee mida ya usiku ukaogopa kutoka.
Hahaha ndio bro lile somo nalifanyia kaziKumbe lile somo la kuwa romantic ulilielewa vyema. Ni vitu vidogo vidogo kama hivi. Hapo utakuta anakumbuka huto tuua na siyo pizza yenyewe...
Nimeshindwa hata kusoma umeandika nini bro,,,nmeangalia hiyo avatar kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa mwandishi mzuri. Anakuchorea wahusika kwa uwazi kabisa na unaweza kujikuta hata unarusha ngumi Willy Gamba akirusha....ingekuwa ni huko kwa wenzetu naamini vitabu hivi vingekuwa vimeshatengenezewa series ya action movies hatari sana....