Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hupunguza msongo wa mawazo:

Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono. Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika, muscle relaxant), na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana. Watu wanaojamiana huweza kuhimili vizuri msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawafanyi hivyo. Aidha watu wanaojamiana huwa na kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu kuliko wale wasiojamiana. Pia kuwepo kwa viasili vya prostaglandins katika shahawa husaidia kupunguza msongo wa mawazo. Viasili hivi hunyonywa na sehemu za siri za mwanamke. Shahawa pia zina madini ya zinc, calcium, potassium, fructose na protini ambavyo vyote ni muhimu kwa afya njema.
 
IMG-20190801-WA0027.jpeg
 
Hupunguza maumivu:

Kufikia kilele (orgasm) wakati wa kujamiana ni tiba ya maumivu. Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, kipandauso, baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi (post menopausal syndrome symptom).
 
Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume:

Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume (prostate cancer) hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana. Aidha kutoa shahawa wakati wa kujamiana mara 21 au zaidi kwa mwezi kunahusishwa na uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume wenye umri mkubwa ikilinganishwa na kutoa shahawa mara 4 mpaka 7 kwa mwezi.
 
Huongeza uwezo wa kunusa:

Baada ya kujamiana, kiwango cha homoni ya prolactin huongezeka, ambayo hufanya seli za ubongo (brain stem cells) kutengeneza seli mpya katika sehemu inayohusika kunusa na kutambua harufu (brain olfactory bulb).
 
Hupunguza uzito na kumfanya mtu kuwa na afya njema:

Kujamiana ni mazoezi mazuri. Wakati wa kujamiana, mapigo ya moyo huongezeka kutoka wastani 70/dakika mpaka 150/dakika ambayo ni sawa na mtu anayefanya mazoezi kwa kiwango cha juu. Kujamiana huchoma karibu 200 calories sawa na kukimbia dakika 15 katika mashine ya tredmill. Mwanamke anayefika kilele huchoma calories 47 zaidi.
 
Huongeza kinga ya mwili:

Kufanya mapenzi mara moja au mara mbili kwa wiki huongeza kiwango cha seli za kinga aina ya immunoglobulin A kwa robo tatu, na hivyo kumkinga mtu dhidi ya mafua na magonjwa mbalimbali.
 
Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke:

Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.
 
Kudhibiti mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida:

Wanawake ambao hujamiana angalau mara moja kwa wiki (isipokuwa siku ambazo wako kwenye hedhi) huwa na mzunguko wa hedhi wa kawaida ikilinganishwa na wale ambao hufanya mapenzi kwa nadra au wale ambao hawafanyi kabisa.
 
*AC Milan Confirm[emoji736] €35m Leao Signing from Lille*

AC Milan have signed Rafael Leao from Lille for a reported €35 million (£32m/$39m) fee.

The 20-year-old striker, who can also play on the wing, arrived in Italy on Wednesday to undergo a medical and subsequently signed a five-year deal with the Serie A side.

The Rossoneri had been linked to the Portugal Under-21 international for weeks and reports suggested they would send Tiago Djalo to France as part of the deal, but the 19-year-old centre-back has not been included.

A product of Sporting CP's youth system, Leao joined Lille last August and went on to score eight times in 26 appearances in 2018-19 as they finished second in Ligue 1.

He replaces Patrick Cutrone, who joined Wolves this week for a fee of around £20 million ($24m), and becomes Milan's third signing and most expensive of the current transfer window, following Theo Hernandez and Rade Krunic in joining the San Siro outfit.
 
Kuongeza ukakamavu katika misuli ya nyonga (pelvic floor muscles): Na hivyo kuzuia mwanamke kupata matatizo ya mkojo au ugonjwa wa kibofu cha mkojo. Wanawake ambao wamekoma kupata hedhi, kufanya mapenzi mara kwa mara huondoa tatizo la kusinyaa kwa sehemu za siri za mwanamke (vagina atrophy) na hivyo kumwepusha na maambukizi katika njia cha mkojo (Urinary Tract Infection).
 
*Emery Hopeful Koscielny Will Stay at Arsenal[emoji120]*

Laurent Koscielny could still stay at Arsenal this summer despite heavy speculation linking him with a move away from the club.

Manager Unai Emery is loathe to lose his captain, especially with fellow centre-half Shkodran Mustafi also rumoured to be on his way out of the Emirates.

Koscielny was disciplined by Arsenal earlier in the summer after refusing to join his team-mates on their pre-season tour of the United States, but Emery admitted he is still trying to convince him to stay.

"He's a very important player for us,” Emery said. “We are speaking with him and with the team, about my responsibilities, the club's responsibility and his responsibility.

“With respect it's better for us, it's better for the team… if he is here with us this season, it's very different than if he isn’t with us.

“At the moment it's a very personal decision, and we are respecting that. I am speaking with him and we are going to find the best solution, but overall we need a player like him."
 
Kufanya mapenzi huongeza kasi ya mzunguko wa damu mwilini:

Unapojamiana na kufikia kilele, mzunguko wa damu huongezeka maradufu, hivyo kuongeza mzunguko wa hewa aina ya oksijeni kwenda kwenye viungo muhimu kama moyo, ubongo na figo hivyo kusaidia kuondoa uchafu na sumu mbalimbali mwilini.
 
Back
Top Bottom